Friends Of LOWASSA and M4C
Jumatano, 5 Agosti 2015
ZIJUE KAULI TATA TANZANIA 2005 TO 2015
Je kauli ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka Leo
kutoka kwa viongozi wetu:
1: kuleni nyasi ndege ya rais lazima
inunuliwe. (Mramba)
2. Foleni dar ni ishara ya maendeleo (jk)
3. Acheni wivu wa kike (msekwa)
4. Asiyeweza kulipa nauli ya kivuko apige
mbizi (magufuli)
5. Baada ya kutumia helicopter ya jeshi
kwenda nayo urambo mlitaka nitumie
punda" (kapuya)
6. Wabunge wa dar mnafikiria kwa kutumia
makalio (masaburi)
7. Ukitaka kula lazima uliwe (jk)
8. Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua
(wasira)
9. Kila mwananchi atabeba msalaba wake
(mukullo)
10. Wanafunzi kupata mimba ni viherehere
vyao (jk)
11.asiyeweza gharama za umeme awashe
kibatari ( muhongo)
12. Uchumi mnao lakini mnaukalia (nyerere)
13. Chadema tupo makini kuliko serikali ya
ccm na usalama wa taifa (Dr.slaa)
14. Siongei na mbwa naongea na mwenye
mbwa (juma nkamia)
15. Tumefika hapa kwa upuuzi wa ccm
namaanisha tumefika hapa kwa udhaifu wa
rais (john mnyika)
16. Polisi Mimi ni kama rais wao hawana
cheo cha kunikamata (mch. Mtikila)
17. Ukiona tz kuna maisha magumu nenda
unakoona kuna vya dezo (jk)
18.Wanaoishi mbagala wote pumbavu
(mkapa)
19.Wanaoandamana kuweka mgomo piga
tuu..(pinda)
20. Mtaenda kazini mkiwa na ngeu mkigoma
(jk)
21. Supplementary ni somo kama masomo
mengine. (Mulugo)
22. Tanzania ni muungano wa visiwa vya
Zanzibar na Zimbabwe. (Mulugo)
23. Anayeona mshahara haumtoshi aache kazi
(jk)
24. Nampongeza maalim seif kwa kupata kura
nyingi ila nampongeza karume kwa
kuchaguliwa kuwa rais wa Zanzibar
(mwinyi).....
25. "Wananchi wa Mbagala mzoee milipuko ya mabomu kama wenzenu wa Kitunda walivyozoea kelele za ndege....." Mh Lukuvi.
Jumanne, 4 Agosti 2015
WATANZANIA TUSIWE WAJINGA
Vijana na wote mnao post vitambulisho vyenu vya kupiga kura acheni kabisa mtaja pigiwa kura baadae bila kujijua
Inashauriwa uo udanganyifu unaoendelea kweny vyombo vya habari hasa TV ni sio wa kuaminika kulingana na technlogy yetu hii... ACHA KUPIGA SELFIE KITAMBULISHO CHAKO SASA.
Inashauriwa uo udanganyifu unaoendelea kweny vyombo vya habari hasa TV ni sio wa kuaminika kulingana na technlogy yetu hii... ACHA KUPIGA SELFIE KITAMBULISHO CHAKO SASA.
MW. FREEMAN MBOWE AHUTUBIA WAJUMBE LEO
Akihutubia Kikao cha Baraza Kuu leo, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema, tumekubaliana na Katibu Mkuu apumzike kwa muda, kwamba sisi tuendelee na atakapokuwa tayari ataungana nasi mbele ya safari
HILI NDIO CHAGUO LA WENGI NA CHAGUO LA WATANZANIA.
Chaguo la watanzania leo limeaminila rasmi baada ya EDWARD LOWASSA kuwa mwakilishi wa urais ukawa na chadema
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)