Makongoro Mahanga ambae Waziri wa KAZI NA AJIRA ajiuzuru uwanachama rasmi leo katika mkutano mkuu
MH.Makongoro mahanga
Ni baada ya wengine kama Ester bulaya na wengine wengi kujiuzulu katita chama hicho ka kuamia chadema baada ya Edward lowassa na CHADEMA mwishoni mwa mwezi jana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni