Jumatano, 5 Agosti 2015
ZIJUE KAULI TATA TANZANIA 2005 TO 2015
Je kauli ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka Leo
kutoka kwa viongozi wetu:
1: kuleni nyasi ndege ya rais lazima
inunuliwe. (Mramba)
2. Foleni dar ni ishara ya maendeleo (jk)
3. Acheni wivu wa kike (msekwa)
4. Asiyeweza kulipa nauli ya kivuko apige
mbizi (magufuli)
5. Baada ya kutumia helicopter ya jeshi
kwenda nayo urambo mlitaka nitumie
punda" (kapuya)
6. Wabunge wa dar mnafikiria kwa kutumia
makalio (masaburi)
7. Ukitaka kula lazima uliwe (jk)
8. Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua
(wasira)
9. Kila mwananchi atabeba msalaba wake
(mukullo)
10. Wanafunzi kupata mimba ni viherehere
vyao (jk)
11.asiyeweza gharama za umeme awashe
kibatari ( muhongo)
12. Uchumi mnao lakini mnaukalia (nyerere)
13. Chadema tupo makini kuliko serikali ya
ccm na usalama wa taifa (Dr.slaa)
14. Siongei na mbwa naongea na mwenye
mbwa (juma nkamia)
15. Tumefika hapa kwa upuuzi wa ccm
namaanisha tumefika hapa kwa udhaifu wa
rais (john mnyika)
16. Polisi Mimi ni kama rais wao hawana
cheo cha kunikamata (mch. Mtikila)
17. Ukiona tz kuna maisha magumu nenda
unakoona kuna vya dezo (jk)
18.Wanaoishi mbagala wote pumbavu
(mkapa)
19.Wanaoandamana kuweka mgomo piga
tuu..(pinda)
20. Mtaenda kazini mkiwa na ngeu mkigoma
(jk)
21. Supplementary ni somo kama masomo
mengine. (Mulugo)
22. Tanzania ni muungano wa visiwa vya
Zanzibar na Zimbabwe. (Mulugo)
23. Anayeona mshahara haumtoshi aache kazi
(jk)
24. Nampongeza maalim seif kwa kupata kura
nyingi ila nampongeza karume kwa
kuchaguliwa kuwa rais wa Zanzibar
(mwinyi).....
25. "Wananchi wa Mbagala mzoee milipuko ya mabomu kama wenzenu wa Kitunda walivyozoea kelele za ndege....." Mh Lukuvi.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni